A New Hard Drive in #English,#Swahili #Thai | ฮาร์ดไดรฟ์ใหม่ | Daily Life Conv. @kelvinminja
A New Hard Drive in #English,#Swahili #Thai | ฮาร์ดไดรฟ์ใหม่ | Daily Life Conv. @kelvinminja
I called HP about my computer.
Niliwapigia simu HP kuhusu kompyuta yangu.
ฉันโทรหา HP เกี่ยวกับคอมพิวเตอร์ของฉัน
What did they say?
Walisemaje?
เขาว่าอะไรบ้าง?
They said I need a new hard drive.
Walisema ninahitaji diski kuu mpya.
พวกเขาบอกว่าฉันต้องการฮาร์ดไดรฟ์ตัวใหม่
That's too bad. How much is a new one?
Hiyo ni mbaya sana. Je, mpya ni kiasi gani?
แย่จัง ของใหม่ราคาเท่าไหร่คะ?
It's not too much, only about $85.
Sio bei ghali sana, ni kama $85 tu.
ไม่แพงมาก ประมาณ $85 เท่านั้น
Plus installation?
Pamoja na kubadilisha?
บวกการติดตั้งรึยัง?
No, my hard drive is easy to remove and replace.
Hapana, diski yangu kuu ni rahisi kuondoa na kubadilisha.
ไม่ได้บวก ฮาร์ดไดรฟ์ของฉันถอดและเปลี่ยนได้ง่าย
Really?
Kweli?
จริงเหรอ?
Yes, it's just a couple of screws.
Ndiyo, ni skrubu chache tu.
ใช่ มันเป็นแค่สกรูสองสามตัว
That's nice.
Vizuri.
ดีมาก
It's a lot better than paying someone $60.
Ni bora zaidi kuliko kumlipa mtu $60.
ดีกว่าจ่ายเงินให้ใครซักคน $60 มาก
If my hard drive crashes, I'll just call you.
Ikiwa diski yangu kuu itaanguka, nitakupigia simu tu.
ถ้าฮาร์ดไดรฟ์ของฉันพัง ฉันจะโทรหาคุณ
1
view
Time for Your Bath in #English,#Swahili #Thai | ช่วงเวลาอาบน้ำ | Daily Life Conv. @kelvinminja
Time for Your Bath in #English,#Swahili #Thai | ช่วงเวลาอาบน้ำ | Daily Life Conv. @kelvinminja
It's time for your bath, young lady.
Ni wakati wa kuoga, binti yangu.
ได้เวลาอาบน้ำแล้วสาวน้อย
But, Mom, I'm not dirty.
Lakini, Mama, mimi si mchafu.
แต่แม่ หนูไม่สกปรก
You need a bath every day.
Unahitaji kuoga kila siku.
ต้องอาบน้ำทุกวันนะ
Why?
Kwa nini?
ทำไมล่ะ?
Because you don't want to smell bad.
Kwa sababu hutaki harufu mbaya.
เพราะหนูคงไม่อยากมีกลิ่นตัว
I don't smell bad.
Sina harufu mbaya.
หนูไม่ได้กลิ่นเหม็น
That's what you think.
Hivyo ndivyo unavyofikiri.
นั่นคือสิ่งที่หนูคิด
If I smelled bad, I could smell me.
Kama nina harufu mbaya, ningeweza kujinusa.
ถ้าหนูมีกลิ่นตัว หนูก็ต้องได้กลิ่นตัวเอง
I can smell you.
Ninaweza kukunusa.
แม่ได้กลิ่นหนู
I can smell you, too.
Ninaweza kukunusa, pia.
หนูก็ได้กลิ่นแม่เหมือนกัน
That's my perfume.
Hayo ni manukato yangu.
นั่นคือน้ำหอมของแม่
When can I wear perfume?
Lini ninaweza kujipulizia manukato?
หนูสามารถใส่น้ำหอมได้เมื่อไหร่?
1
view
"Too Many Full Classes?" in English, Swahili & Thai | คลาสเต็มมากเกินไป | School Life Conversation
"Too Many Full Classes?" in English, Swahili & Thai | คลาสเต็มมากเกินไป | School Life Conversation
How many classes did you manage to get?
Umefanikiwa kupata madarasa mangapi?
คุณลงทะเบียนเรียนกี่วิชา?
I only got two.
Nimepata madarasa mawili tu.
ฉันมีแค่สอง
I only got one.
Mimi nimepata darasa moja tu.
ฉันมีเพียงหนึ่ง
There are too many full classes at this college.
Kuna madarasa mengi ambayo yamejaa katika chuo hiki.
วิทยาลัยนี้มีชั้นเรียนเต็มรูปแบบมากเกินไป
I never get the classes I need.
Sijawahi kupata madarasa ninayohitaji.
ฉันไม่เคยได้รับชั้นเรียนที่ฉันต้องการ
Have you tried asking the professor for a spot?
Umejaribu kumuuliza profesa mahali?
คุณได้ลองขอศาสตราจารย์แล้วหรือยัง?
That doesn't work all the time.
Sijawahi kufanikiwa katika hilo kila wakati.
ขอไม่ได้ตลอด
At this point, we will graduate in 10 years.
Katika hatua hii, tutahitimu katika miaka 10.
ณ จุดนี้ เราจะสำเร็จการศึกษาในอีก 10 ปี
That is so early.
Mbona ni mapema sana.
นั่นเร็วเกินไป
What are you talking about?
Unazungumzia nini?
คุณกำลังพูดถึงอะไร?
I think we will graduate in 15 years.
Nadhani tutahitimu baada ya miaka 15.
ฉันคิดว่าเราจะสำเร็จการศึกษาใน 15 ปี
You are funny.
Unachekesha.
คุณเป็นคนตลก
2
views
A Bad Diet in #English,#Swahili #Thai | งดอาหาร | Daily Life Conversation @kelvinminja
A Bad Diet in #English,#Swahili #Thai | งดอาหาร | Daily Life Conversation @kelvinminja
Mom, I'm hungry.
Mama, nina njaa.
แม่ หนูหิวแล้ว
Look in the fridge.
Angalia kwenye friji.
ดูในตู้เย็นสิลูก
I'm looking. There's nothing to eat.
Naangalia. Hakuna cha kula.
หนูกำลังมองหา ไม่มีอะไรเลย
Are you sure?
Una uhakika?
แน่ใจหรอลูก?
It's almost empty.
Inakaribia kuwa tupu.
มันโล่งเลย
I went to the market yesterday.
Nilienda sokoni jana.
แม่ไปตลาดมาเมื่อวานนี้
I don't see anything.
sioni chochote.
หนูไม่เห็นอะไรเลยนะ
I bought lots of oranges and apples.
Nilinunua machungwa na tufaha nyingi.
แม่ซื้อส้มและแอปเปิ้ลมาเยอะเลย
I don't want fruit. I want something tasty.
Sitaki matunda. Nataka kitu kitamu.
หนูไม่ต้องการผลไม้ หนูต้องการของอร่อย
Eat the fruit. It's good for you.
Kula matunda. Ni mazuri kwako.
กินผลไม้ มันดีสำหรับลูก
Next time you go to the market, let me go with you.
Wakati mwingine ukienda sokoni, acha niende nawe.
คราวหน้าที่แม่ไปตลาด ให้หนูไปด้วย
No, thank you. All you want to eat are hot dogs and candy bars.
Hapana Asante. Yote unataka kula soseji mkate na pipi.
ไม่ สิ่งที่ลูกอยากกินคือฮอทดอกและลูกกวาดแท่งนั่นแหละ
3
views
Washed and Folded in #English,#Swahili #Thai | ซักและพับเก็บ | Daily Life Conversation @kelvinminja
Washed and Folded in #English,#Swahili #Thai | ซักและพับเก็บ | Daily Life Conversation @kelvinminja
1
view
Did You Say Something? in #English,#Swahili #Thai | คุณพูดอะไรรึป่าว | Daily Life Conv. @kelvinminja
Did You Say Something? in #English, #Swahili #Thai | คุณพูดอะไรรึป่าว | Daily Life Conversation @kelvinminja
I have to go to the bathroom.
Lazima niende chooni.
ฉันต้องไปห้องน้ำ
You drink too much coffee.
Umekunywa kahawa nyingi.
คุณดื่มกาแฟมากเกินไป
But I love coffee.
Lakini napenda kahawa.
แต่ฉันชอบกาแฟ
Well, it's your life.
Naam, ni maisha yako.
ก็ชีวิตของคุณ
You eat too much chocolate.
Unakula chokoleti nyingi.
คุณกินช็อกโกแลตมากเกินไป
I don't think so.
Sidhani.
ไม่หรอก
Have you looked in the mirror?
Umejitazama kwenye kioo?
คุณส่องกระจกแล้วหรือยัง?
Do you think I'm getting fat?
Unafikiri nimenenepa?
คุณคิดว่าฉันอ้วนไหม?
I didn't say that.
Sikusema hivyo.
ฉันไม่ได้พูดอย่างนั้น
What did you say?
Ulisema nini?
คุณพูดว่าอะไรนะ?
I said I have to go to the bathroom.
Nilisema lazima niende chooni.
ฉันบอกว่าฉันต้องไปห้องน้ำ
That's what I thought you said.
Ndivyo nilifikiri umesema.
นั่นคือสิ่งที่ฉันคิดว่าคุณพูด
1
view
A Lost Button in #English, #Swahili #Thai | กระดุมที่หายไป | Daily Life Conversation @kelvinminja
A button came off my shirt.
Kifungo kimetoka kwenye shati langu.
กระดุมหลุดออกจากเสื้อของฉัน
What are you going to do?
Utafanya nini?
คุณจะทำอะไร?
First, I have to find the button.
Kwanza, lazima nikitafute kifungo.
อันดับแรก ฉันต้องหากระดุมให้เจอ
Where did you lose it?
Umekipotezea wapi?
คุณทำมันหายที่ไหน?
I have no idea.
Sifahamu
ไม่รู้เลย
A button is hard to find. Did you look in your pant cuffs?
Kutafuta kifungo ni vigumu. Je, ulitazama kwenye pindo la suruali yako?
กระดุมนั้นหายาก คุณดูกางเกงในของคุณหรือไม่?
That's a good idea.
Hilo ni wazo zuri.
เป็นความคิดที่ดี
I found a button in my pant cuffs one time.
Nilipata kifungo kwenye pindo za suruali mara moja.
ฉันพบกระดุมที่ข้อมือกางเกงครั้งหนึ่ง
Let me look. No, it's not there.
Acha niangalie. Hapana, haipo.
ให้ฉันดู ไม่มันไม่ได้อยู่ที่นั่น
Many shirts come with an extra button.
Mashati mengi huja na kifungo cha ziada.
เสื้อเชิ้ตหลายตัวมีกระดุมเสริม
You're right. This one does have an extra button.
Uko sahihi. Hili Shati lina kitufe cha ziada.
คุณพูดถูก อันนี้มีกระดุมพิเศษ
Now all you have to do is sew it on.
Sasa unachotakiwa kufanya ni kushona.
ตอนนี้ที่คุณต้องทำคือเย็บต่อ
@LearnEnglishWithTVSeries @Thai @swahiliacademy
#khabylame #learning #language #lisa
5
views
They Deliver in #English, #Swahili #Thai | ส่งมอบ | Daily Life Conversation @kelvinminja
They Deliver in #English, #Swahili #Thai | ส่งมอบ | Daily Life Conversation @kelvinminja
3
views
Present Simple Tense in English, Swahili and Thai | Tense In Three Languages
#Present #Simple #Tense in English, Swahili and Thai | Tense In Three Languages
3
views
Dad Has a Girlfriend in #English, #Swahili & #Thai | พ่อมีสาว | Daily Life Conversation @kelvinminja
Dad Has a Girlfriend in #English, #Swahili & #Thai | พ่อมีสาว | Daily Life Conversation @kelvinminja
My parents are divorced.
Wazazi wangu wameachana.
พ่อแม่ของฉันหย่าร้างกัน
So are mine.
Vivyo hivyo na wangu.
ของฉันก็เหมือนกัน
Why did your parents get divorced?
Kwa nini wazazi wako waliachana?
ทำไมพ่อแม่ของคุณถึงหย่า?
My father found a new girlfriend.
Baba yangu alipata mpenzi mpya.
พ่อของฉันพบแฟนใหม่
That's too bad.
Hiyo ni mbaya sana.
แย่เกินไป
My mother was hurt and angry.
Mama yangu aliumia na kukasirika.
แม่ของฉันเจ็บและโกรธ
She had good reason. What did she do?
Alikuwa na sababu nzuri. Alifanya nini?
เธอมีเหตุผลที่ดี แล้วหล่อนทำอะไร?
She told him to drop his girlfriend.
Akamwambia aachane na mpenzi wake.
เธอบอกให้เขาเลิกกับแฟน
What did your father do?
Baba yako alifanya nini?
พ่อของคุณทำอะไร?
He moved out of our house.
Alihama kutoka nyumbani kwetu.
เขาย้ายออกจากบ้านของเรา
I guess he really liked his new girlfriend.
Nadhani alimpenda sana mpenzi wake mpya.
ฉันเดาว่าเขาชอบแฟนใหม่ของเขาจริงๆ
Yes, but she left him a year later.
Ndio, lakini alimwacha mwaka mmoja baadaye.
ใช่ แต่เธอทิ้งเขาไปในอีกหนึ่งปีต่อมา
11
views
Do You Love Me? in #English, #Swahili & #Thai | คุณรักฉันไหม | Daily Life Conversation @kelvinminja
Do You Love Me? in #English, #Swahili & #Thai | คุณรักฉันไหม | Daily Life Conversation @kelvinminja
Do you really love me?
Je, unanipenda kweli?
คุณรักฉันจริงหรอ
Of course.
Bila shaka.
แน่นอนรักสิ
Prove it.
Thibitisha.
พิสูจน์สิ
How can I prove it?
Ninawezaje kuthibitisha hilo?
ผมจะพิสูจน์ได้อย่างไร
Take me to dinner.
Nipeleke kwenye chakula cha jioni.
พาฉันไปทานอาหารเย็น
That's it? That's all I have to do?
Hivyo tu? Hivyo ndiyo vyote ninavyopaswa kufanya?
แค่นี้เองเหรอ? นั่นคือทั้งหมดที่ผมต้องทำ?
Take me to a nice restaurant, not to McDonald's.
Nipeleke kwenye mkahawa mzuri, sio McDonald's.
พาฉันไปร้านอาหารดีๆ ไม่ใช่ร้านแมคโดนัลด์
But a nice restaurant costs money.
Lakini mgahawa mzuri hugharimu pesa.
แต่ร้านอาหารดีๆ ก็ต้องเสียเงินเยอะ
Yes, and you have to make a reservation.
Ndiyo, na unapaswa kufanya uhifadhi.
ใช่ และคุณต้องจอง
That's such a hassle.
Hiyo ni shida.
ยุ่งยาก
I knew you didn't love me.
Nilijua tu hunipendi.
ฉันรู้ว่าคุณไม่รักฉัน
Okay, okay! I'll make a reservation right now.
Sawa, sawa! Nitaweka nafasi sasa hivi.
โอเค โอเค! เดี๋ยวผมจองให้ครับ.
8
views
His Line Is Never Busy in #English, #Swahili & #Thai | Daily Life Conversation @kelvinminja
My husband died.
Mume wangu alifariki.
สามีของฉันเสียชีวิต
I'm sorry for you.
Pole kwa msiba.
ฉันเสียใจสำหรับคุณ
Thank you.
Ahsante.
ขอบคุณ
When did he die?
Alifariki lini?
เขาเสียชีวิตเมื่อไหร่?
A couple of months ago.
Miezi michache iliyopita.
สองสามเดือนที่ผ่านมา
You still miss him.
Bado unamkumbuka.
คุณยังคิดถึงเขาอยู่
Yes, but I talk to him almost every day.
Ndiyo, lakini huwa nazungumza naye karibu kila siku.
ใช่ แต่ฉันคุยกับเขาเกือบทุกวัน
When you go to church?
Unapoenda kanisani?
เมื่อคุณไปโบสถ์?
No, when I call him on his cell phone.
Hapana, ninapompigia simu kwenye simu yake ya mkononi.
ไม่ ฉันโทรหาเขาทางโทรศัพท์มือถือของเขา
What do you mean?
Unamaanisha nini?
คุณหมายความว่าอย่างไร
I buried him with his cell phone.
Nilimzika na simu yake ya mkononi.
ฉันฝังเขาด้วยโทรศัพท์มือถือของเขา
What will you do when the battery dies?
Utafanya nini betri itakapokufa?
คุณจะทำอย่างไรเมื่อแบตเตอรี่หมด?
I don't know.
Sijui.
ไม่รู้สิ
@kelvinminja @EnglishClass101 @SwahiliPod101 @GMM25Thailand
#foreign #language
4
views
Happy in Heaven in English, Swahili & Thai | ความสุขบนสวรรค์ | Daily Life Conversation @kelvinminja
My parents go to church every Sunday.
Wazazi wangu wanaenda kanisani kila Jumapili.
พ่อแม่ของฉันไปโบสถ์ทุกวันอาทิตย์
They trust in God.
Wanamwamini Mungu.
พวกเขาวางใจในพระเจ้า
They hope they will go to heaven.
Wanatumaini wataenda mbinguni.
พวกเขาหวังว่าพวกเขาจะไปสวรรค์
They probably will.
Pengine itakuwa hivyo.
คงเป็นอย่างนั้น
But no one knows for sure.
Lakini hakuna anayejua kwa uhakika.
แต่ไม่มีใครรู้แน่ชัด
That's for sure.
Hiyo ni hakika.
แน่นอน
No one knows what happens after we die.
Hakuna anayejua kinachotokea baada ya kufa.
ไม่มีใครรู้ว่าจะเกิดอะไรขึ้นหลังจากที่เราตาย
If we are good, we will be happy in heaven with God.
Tukiwa wema, tutakuwa na furaha mbinguni pamoja na Mungu.
ถ้าเราดี เราจะมีความสุขในสวรรค์กับพระเจ้า
That's what many people believe.
Hivyo ndivyo watu wengi wanavyoamini.
นั่นคือสิ่งที่หลายคนเชื่อ
If we are bad, we will be unhappy forever in hell.
Ikiwa sisi ni wabaya, hatutakuwa na furaha milele kuzimu.
ถ้าเราเลว เราจะไม่มีความสุขตลอดไปในนรก
I don't want to go to hell.
Sitaki kwenda kuzimu.
ฉันไม่อยากไปนรก
Let's go to church with your parents on Sunday.
Basi, Twende kanisani na wazazi wako Jumapili.
วันอาทิตย์ไปโบสถ์กับพ่อแม่ของคุณ
#happy #heaven #kelvinminja
3
views
#Kittens to Give Away in English, Swahili & Thai | ให้ลูกแมว | Daily Life Conversation @kelvinminja
#Kittens to Give Away in English, Swahili & Thai | ให้ลูกแมว | Daily Life Conversation @kelvinminja
16
views
#Give Me a Puppy in English, Swahili & Thai | ให้ฉันเป็นลูกสุนัข | DL Conversation @kelvinminja
Give Me a Puppy in English, Swahili & Thai | ให้ฉันเป็นลูกสุนัข | Daily Life Conversation @kelvinminja
Mom, I want a puppy.
Mama, nataka mbwa.
แม่ หนูอยากได้ลูกสุนัข
Let me think about it.
Acha nifikirie juu yake.
ขอคิดก่อนนะ
Why do you have to think about it?
Kwa nini unataka kufikiria juu ya hili?
ทำไมแม่ต้องคิดด้วยล่ะ?
Because a puppy costs money.
Kwa sababu mtoto wa mbwa anagharimu pesa.
เพราะว่าลูกสุนัขมีค่าใช้จ่ายนะ
No, it doesn't. Puppies are free.
Hapana, sidhani. Watoto wa mbwa ni bure.
ไม่ ไม่ได้ ลูกสุนัขมันฟรีค่ะ
Yes, but a puppy needs shots.
Ndiyo, lakini puppy inahitaji sindano.
ใช่ แต่ลูกสุนัขต้องฉีดยา
Shots for what?
Sindano za nini?
ฉีดยาเพื่ออะไร?
So it won't get sick. Just like you get shots.
Ili asiwe mgonjwa. Kama vile wewe unavyochomwa sindano.
จะได้ไม่ป่วย เหมือนหนูที่ฉีดยาไง
I hate shots.
Nachukia sindano.
หนูเกลียดการฉีดยา
And a puppy eats food. Food costs money.
Na mtoto wa mbwa ula chakula. Chakula kinagharimu pesa.
และลูกสุนัขก็กินอาหาร อาหารมีค่าใช้จ่ายนะ
No problem. I'll give him food off my plate.
Hakuna shida. Nitampa chakula kutoka kwenye sahani yangu.
ไม่มีปัญหา หนูจะให้อาหารมันจากจานของหนู
Oh, no you don't. Puppies don't eat vegetables.
Oh, hapana. Watoto wa mbwa hawali mboga.
โอ้ ไม่ ลูกไม่ควรทำ สุนัขไม่กินผัก
#english #swahili #thai
16
views
"#Two Polite People" in English, Swahili & Thai | คนสุภาพสองคน | Daily life Conversation @Kel
Excuse me.
Samahani.
ขอโทษนะคะ
Yes?
Ndiyo?
คะ?
Are you reading this paper?
Je, unasoma karatasi hii?
คุณกำลังอ่านบทความนี้อยู่หรือป่าวคะ?
Oh, no. Help yourself.
La, hasha. Jisaidie.
ไม่นะคะ
I asked because the paper is sitting next to you.
Nauliza kwa sababu karatasi imekaa karibu na wewe.
ฉันถามเพราะว่ามีกระดาษวางอยู่ข้างๆ คุณน่ะ
Thank you. That's polite of you to ask.
Asante. Hiyo ni heshima kwako kuuliza.
ขอบคุณนะคะ คุณมีมารยาทมากเลยที่ถามมันขึ้นมา
Some people would just pick it up.
Watu wengine wangeichukua tu.
บางคนก็หยิบมันไปเลยนะ
Yes, I know. Some people are rude.
Ndio najua. Watu wengine hawana adabu.
ใช่ ฉันรู้ บางคนก็หยาบคาย
I always try to be polite.
Mimi najaribu kuwa na adabu kila wakati.
ฉันพยายามสุภาพอยู่เสมอค่ะ
So do I.
Mimi pia.
ฉันก็เหมือนกัน
The world needs more polite people like us.
Ulimwengu unahitaji watu wenye adabu zaidi kama sisi.
โลกต้องการคนสุภาพแบบเรามากกว่านี้
I agree 100 percent.
Nakubali kwa asilimia 100.
ฉันเห็นด้วย 100 เปอร์เซ็นต์
4
views
"#Shave Your Face" in English, Swahili & Thai | โกนหนวดของคุณ | Daily life Conversation @Kel
I hate shaving.
Nachukia kunyoa.
ผมเกลียดการโกนหนวดจัง
Me too.
Mimi pia.
ผมด้วย
I just cut myself again.
Nilijikata tena.
ผมเพิ่งตัดโดนตัวเองอีกแล้ว
Did you use a new blade?
Je, ulitumia wembe mpya?
แล้วคุณใช้ใบมีดใหม่หรือป่าว?
It doesn't matter. Old blades cut, new blades cut.
Haijalishi. Wembe wa zamani hukata, Wembe mpya hukata.
ไม่ต่างกันเลย ใบมีดเก่าหรือใหม่มันตัดโดน
Maybe you should use an electric shaver.
Labda unapaswa kutumia wembe wa umeme.
บางทีคุณควรใช้เครื่องโกนหนวดไฟฟ้า
They make a lot of noise, but they don't give a close shave.
Zinatoa kelele nyingi, lakini hazinyoi kwa karibu.
พวกมันเสียงดัง แต่ไม่ได้โกนหนวดให้เกลี้ยงเกลาอีก
Maybe you should stop shaving.
Labda unapaswa kuacha kunyoa.
บางทีคุณควรหยุดโกนหนวดนะ
And grow a beard?
Na kufuga ndevu?
แล้วไว้หนวดเคราน่ะหรอ?
Sure. Why not?
Hakika. Kwa nini isiwe hivyo?
ใช่สิๆ ทำไมจะไม่ล่ะ?
Because food and other stuff sticks in my beard.
Kwa sababu chakula na vitu vingine vinashika kwenye ndevu zangu.
เพราะอาหารและสิ่งอื่น ๆ มันจะติดอยู่บนเคราของฉันน่ะสิ
Hmm. Here's an idea. Put cream on your face and have the cat lick it off.
Hmm. Nina wazo. Weka malai usoni mwako na mruhusu paka ailambe.
อืม นี่เป็นความคิด ทาครีมบนใบหน้าแล้วให้แมวเลียออกแล้วกัน
#english #swahili #thai #fyp