BOOSTER FC vs YOUNG STARS (Live Toka KING'ONGO)
#WASAFITV #MILLARDAYO #SIMBA #AZAMFC #YANGA #AZAMTV
4
views
Hili hapa goli la Kibu lililowapa Simba uongozi kwenye mechi ya kirafiki dhidi ya St. George
Hili hapa shuti la Kibu Dennis lililowapa #SimbaSC uongozi kwenye mechi ya kirafiki dhidi ya St. George ya Ethiopia.
Tuko LIVE #AzamSports1HD
#SimbaDay2022 #SimbaWeek2022 #Unstoppable #WikiYaSimba2022 #SimbaSC #SimbaSCVsStGeorgeSC #Simba #StGeorge
3
views
Sehemu ya onesho la vijana wa halaiki wakiandika neno “Miaka 14 ya Simba Day
#SimbaDay2022 | Sehemu ya onesho la vijana wa halaiki wakiandika neno “Miaka 14 ya Simba Day”
Iko #LIVE #AzamSports1HD
#SimbaDay2022 #SimbaWeek2022 #Unstoppable #WikiYaSimba2022 #SimbaSC #SimbaSCVsStGeorgeSC #Simba #StGeorge
76
views
Bondia Shaban Kaoneka nae yupo Uwanja wa Benjamin Mkapa kwenye tamasha la Simba Day
#SimbaDay2022 : Bondia Shaban Kaoneka nae yupo Uwanja wa Benjamin Mkapa kwenye tamasha la Simba Day na hapa anawasalimia wanasimba wenzake.
#SimbaDay2022 #SimbaWeek2022 #Unstoppable #WikiYaSimba2022 #SimbaSC #SimbaSCVsStGeorgeSC #Simba #StGeorge
3
views
SIMBA DAY || Mzee Dalali alivyouamsha na kuupamba uwanja wa Benjamin Mkapa
SIMBA DAY || Mzee Dalali alivyouamsha na kuupamba uwanja wa Benjamin Mkapa.
"Dalali vibe" #dalalivibe #azamsports1hd #simbaday2022 #azamtv #yangasc
1
view
Tazama shangwe la mashabiki wa Simba SC, wakiongozwa na Meneja wa Mawasiliano wa timu Ahmed Ally
MASHABIKI WA SIMBA MITAANI: Tazama shangwe la mashabiki wa Simba SC, wakiongozwa na Meneja wa Habari na Mawasiliano wa timu hiyo Ahmed Ally wakipita mitaani maeneo ya Temeke kuhamasisha kuelekea #SimbaDay2022 kesho Jumatatu.
Usikose kutazama tamasha la #SimbaDay2022 ambalo litarushwa LIVE #AzamSports1HD
#SimbaDay2022 #SimbaSC
1
view
Haya hapa mabao manne ya Yanga Princess ikiiadhibu Ilala Queens kwenye mchezo wa kirafiki
MATOKEO: #YangaDay2022: Haya hapa mabao manne ya Yanga Princess ikiiadhibu Ilala Queens kwenye mchezo wa kirafiki
FT | Yanga Princess 4-0 Ilala Queens
Tuko LIVE #AzamSports1HD
#WikiYaMwananchi #KileleWikiYaMwananchi #MwananchiDay2022 #SokaLetuBamBam #YangaSC #Yanga #YangaPrincessvsIlalaQueens #ByutiByuti
41
views
Kikosi cha YangaSC kilivyopita mbele ya maelfu ya mashabiki hapa dimba la Mkapa.
Kikosi cha #YangaSC kilivyopita mbele ya maelfu ya mashabiki hapa dimba la #Mkapa huku mbele vikitangulia vikombe vyote walivyobeba msimu uliomalizika.
Shughuli nzima itakuwa #Mbashara #AzamSports1HD
Kwa kifurushi cha shilingi 23,000 shughuli nzima utaishuhudia moja kwa moja kwenye luninga yako.
#YangaSC #WikiYaWananchi #SikuYaWananchi #YangaDay #SokaLetuBamBam #SisiNiSoka #AzamTV #BurudaniKwaWote
1
view
Mtangazaji wa AzamTV, Peter Otai aliyekuja na neno ByutiByuti apewa zawadi ya jezi.
Mtangazaji wa soka wa Azam TV, Peter Otai aliyekuja na neno #ByutiByuti linalotumika kwenye #SikuYaWananchi akipewa zawadi ya jezi.
Shughuli nzima itakuwa #Mbashara #AzamSports1HD
Kwa kifurushi cha shilingi 23,000 shughuli nzima utaishuhudia moja kwa moja kwenye luninga yako.
#YangaSC #WikiYaWananchi #SikuYaWananchi #YangaDay #SokaLetuBamBam #SisiNiSoka #AzamTV #BurudaniKwaWote
160
views
Hawa hapa makocha wa timu zote mbili Singida Big Stars na Zanaco FC ya kutokea Zambia
#SingidaBigDay2022 : Hawa hapa makocha wa timu zote mbili wakizungumzia mchezo wao wa kirafiki uliomalizika kwa Singida Big Stars kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Zanaco FC ya kutokea Zambia.
#AzamSports1HD #AzamSports2HD #SingidaBigDay2022 #SokaLetuBamBam
12
views
"Nimekuja hapa kufanya kazi yangu siyo kupata upendo" ni maneno ya Pascal Serge Wawa
#SingidaBigDay : "Nimekuja hapa kufanya kazi yangu siyo kupata upendo" ni maneno ya Mchezaji wa Singida Big Stars, Pascal Serge Wawa akizungumzia mipango yake katika timu yake hiyo mpya.
#AzamSports1HD #AzamSports2HD #SingidaBigDay2022 #SokaLetuBamBam
10
views
Hii ndio BIG DAY ya SingidaBigStars Meddie Kagere na Pascal Wawa sasa ni wana Singida Big Stars
Hii ndio #BigSurprise kwenye BIG DAY ya #SingidaBigStars Meddie Kagere’Terminator’ na Pascal Wawa ‘Sultan’ sasa ni wana Singida Big Stars
Tuko LIVE #AzamSports1HD
#AzamSports1HD #SingidaBigDay #SingidaBigDay2022 #SokaletuBamBam
174
views
Hiki hapa Kikosi Bora cha kiungo wa Yanga SC, Khalid Aucho akimtaja Henock Inonga na Pape Sakho
NBCPL STAR: Hiki hapa Kikosi Bora cha kiungo wa Yanga SC, Khalid Aucho akimtaja Henock Inonga, Pape Sakho, Fiston Mayele, Jonas Mkude na Bakari Mwamnyeto.
Kupata kwa undani mahojiano haya maalum ingia kwenye chaneli yetu ya YouTube ya #AzamTV
#NBCPL #KhalidAucho
auchokhalidofficial
8
views
MANDONGA amtaka DULLAH MBABE
MANDONGA AMTAKA DULLAH MBABE: "Dullah Mbabe anaongea sana...najua ulikuwa unaongea maneno mengi, yamenifikia...nakutaka wewe" maneno ya Bondia Karim Mandonga akiweka wazi kuwa anataka pambano dhidi ya Dullah Mbabe, wakati akihojiwa kupitia @ufmradiotz leo.
#Vitasa #Mandonga #DullahMbabe
4
views
Tazama takwimu na udambwidambwi wa mechi za Ligi Kuu kati ya Simba SC na Yanga SC
KUELEKEA DERBY YA KARIAKOO: Tazama takwimu na udambwidambwi wa mechi za Ligi Kuu kati ya Simba SC na Yanga SC, kuanzia Aprili 30, 2014, mpaka mechi yao ya mwisho ya Aprili 30, 2022.
Subiri rekodi mpya hapo Agosti 13, 2022 kwenye mtanange wa #NgaoYaJamii LIVE #AzamSports1HD
#NgaoYaJamii #RekodiMpya #SimbaVsYanga #YangaVsSimba
4
views
Karim Mandonga akikanusha juu ya sauti iliyosambaa akiongea na simu
"Sauti siyo yangu" ni Karim Mandonga akikanusha juu ya sauti iliyosambaa akiongea na simu mara baada tu ya pambano lake na Shaban Kaoneka.
Mandonga amefanya mahojiano na Azam TV kupitia kipindi cha #Viwanjani kinachoruka kupitia #AzamSports1HD mapema asubuhi ya leo.
#Viwanjani #Mandonga #AzamSports1HD
1
view
SIMBA WEEK 2022:Sehemu ya viongozi wa Simba, wakiongozwa na Afisa Mtendaji Mkuu Barbara Gonzalez
SIMBA WEEK 2022: Tazama sehemu ya viongozi wa Simba SC, wakiongozwa na Afisa Mtendaji Mkuu wake Barbara Gonzalez walivyokabidhi zawadi kwa wazee waishio kwenye makazi maalum Kigamboni Dar es Salaam.
Hii ni sehemu ya shamrashamra kuelea #SimbaDay hapo Agosti 8, ambapo uhondo utakuwa LIVE #AzamSports1HD
#SimbaWeek2022 #SimbaSC
@simbasctanzania
1
view
Clatous Chama akieleza namna anavyomfahamu Mzambia, mwenzake Moses Phiri
NBCPL STAR: Msikie kiungo wa Simba SC, Clatous Chama akieleza namna anavyomfahamu Mzambia, mwenzake Moses Phiri ambaye kwa sasa amejiunga na vijana hao wa Msimbazi.
Kuyapata mahojiano haya kwa undani zaidi, ingia kwenye chaneli yetu ya YouTube ya #AzamTV
#NBCPLStar #Chama
@realclatouschama
2
views
Goli lililoipa ubingwa KCCA U-20 dhidi ya Azam FC U20 kwenye fainali ya Cambiasso
Fainali #CambiassoU20Tournament2022: Goli lililoipa ubingwa KCCA dhidi ya Azam FC kwenye fainali ya Cambiasso U20 Tournament 2022
FT: Azam FC 0-1 KCCA
#CambiassoU20Tournament2022 #CambiassoU20 #MichuanoU20 #VaaKipajiChako #AzamFCU20VsKCCAU20 #FainaliU20 #FainaliCambiassoU20
1
view
MORRISON NDANI YA AVIC: Nyota mpya wa Yanga SC, Bernard Morrison alivyotua katika uwanja wa mazoezi
MORRISON NDANI YA AVIC: Tazama nyota mpya wa Yanga SC, Bernard Morrison alivyotua katika uwanja wa mazoezi Avic Town Kigamboni na kupokewa na shangwe la mashabiki wa timu hiyo.
Timu ya #AzamTV ikiongozwa na @hasheem_ibwe na @sebo255 wamekita kambi viunga vya Avic
#MorrisonNdaniYaAvic #BM3 #KambiYaYanga
@bm3gh
Raundi ya pili tu, bondia Selemani Kidunda alimkalisha Erick Katompa japo pambano liliendelea
USIKU WA KISASI: Raundi ya pili tu, bondia Selemani Kidunda alimkalisha Erick Tshimanga Katompa japo pambano liliendelea
Kama ulipitwa na uhondo wa usiku wa jana, mapambano yote yanarudiwa muda huu #AzamSports1HD
#PayBackNight #UsikuWaKisasi #KikiSongea #VitasaSongea #KatompaSongea #KidundaSongea #KidundaVsKatompa #Vitasa #VitasaNight #UsikuWaVitasa
1
view
Huu hapa moto aliokutana nao Karim Mandonga ‘Mtu Kazi’ kutoka kwa Shabani Kaoneka kwa kupigwa TKO
USIKU WA KISASI: Huu hapa moto aliokutana nao bondia Karim Mandonga ‘Mtu Kazi’ kutoka kwa Shabani Kaoneka kwa kuchapwa kwa TKO raundi ya nne
Tuko LIVE #AzamSports1HD
#PayBackNight #UsikuWaKisasi #KikiSongea #VitasaSongea #KatompaSongea #KidundaSongea #KidundaVsKatompa #Vitasa #VitasaNight #UsikuWaVitasa
2
views