CHIKO USHINDI: Huyu hapa wa kubanza kwa mara ya kwanza ndani ya uzi wa Yanga.

2 years ago
6

CHIKO USHINDI: Huyu hapa Chiko Ushindi Wa kubanza kwa mara ya kwanza ndani ya uzi wa Yanga. Hii hapa ni baadhi ya miguso (touches) aliyoifanya.

Je, wewe unamuonaje… anajua au apewe muda…….?

FT: Mbuni 0-2 Yanga

Loading comments...