Wamachinga, katika Soko la Karume jijini Dar ambalo jana liliteketea kwa moto,

3 years ago
4

Wafanyabiashara wadogo, maarufu wamachinga, katika Soko la Karume jijini Dar es Salaam ambalo jana liliteketea kwa moto, wameruhusiwa kuweka alama kwenye maeneo yao ili kujihakikishia usalama wakati wakisubiri ripoti ya kamati iliyoundwa kuchunguza chanzo cha moto huo.

Loading comments...