SALAMA JABIR KUWA MSEMAJI MPYA WA SIMBA

2 years ago
1

Kwenye XXL ya CloudsFM Salama Jabir amefunguka kuhusu kuhusishwa na tetesi za kuchukua nafasi ya Msemaji mpya wa Club ya simba

Salama ameeleza kuwa bado hajakaa mezani na SIMBA, taarifa hizo ni za uzushi tu! Endapo klabu hiyo itamuhitaji milango iko wazi kufanya nae mazungumzo hawezi kukataa kwasababu @simbasctanzania ipo damuni.

Loading comments...