Ziwa Tanganyika sasanlimefungwa kwa shughuli za Uvuvi.

13 days ago
52

Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega akizungumza na Mwananchi leo amesema kufungwa kwa ziwa hilo ni makubaliano yaliyoazimiwa katika kikao kilichofanyika mwaka 2022 kikihusisha nchi zinazozunguka ziwa hilo ambazo ni Zambia, Tanzania, Burundi na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC).

Loading comments...