Usichokijua juu ya Mipango ya Sarafu Mtandao, Ufunuo 18, Luka 21,2024/2025 CyberAttack

9 months ago
385

CyberAttack, Cashless pesa, Jamii ya Kiroboti, Mabadiliko ya Tabia ya Nchi yanaenda kuleta kizaa zaa Kama vile ufunuo inasema "Wafanyabiashara wataomboleza kwa kuanguka kwa kanisa la Roma na maana hakuna atakayenunua bidhaa zao tena! Swali, unajua kuwa Kanisa hilo ndilo Mama wa Biashara zote duniani, mbaya na nzuri ,za siri na zawazi.

Loading 1 comment...