Luther Akyoo na Alice Magaka: Mshindi wa Tuzo ya Malkia Elizabeth II

1 year ago
43

Luther Akyoo anakuletea "Unedited Lens", kipindi kisichochujwa. Nikiwa nchini Uingereza nilipata nafasi ya kufanya mahojiano maalum na Alice Magaka, mshindi wa Tuzo ya Malkia Elizabeth II (2018), baada ya kufanya vyema katika kazi zake za kijamii "The Pink Box Project". Alice Magaka ana simulizi iliyojaa hamasa na uthubutu.

Jiunge nasi katika mahojiano haya Maalum ambayo Alice Magaka anaongelea ufahamu wake katika kazi za kijamii na uthubutu uliopelekea kujinyakulia Tuzo ya Malkia Elizabeth II, usikose nafasi hii ya kujifunza jambo jipya. Karibuni!

Subscribe to stay up-to-date on all of our social media accounts to enjoy Unedited Lens content.

Twitter: https://x.com/lutherakyoo
Instagram: https://www.instagram.com/lutherakyoo
Facebook: https://www.facebook.com/profile.php?id=100000522132314

Alice Magaka social media accounts
Instagram: https://www.instagram.com/alicemagaka
Twitter: https://x.com/alicemagaka?s=11

Luther Akyoo Unedited Lens is now available on X, Instagram and Facebook!
#lutherakyoo #alicemagaka #queenelizabethIIaward #graduatesuccess #interview #debate #england #tanzania #rwanda #kenya #socialworker #ngo

Loading comments...