FAIDA YA KUTUMIA CUCUMBER

1 year ago
5

Watafiti wanasema tunda hili huboresha kinga ya mwili.

Ni tiba ya bawasiri: Tango hutuliza bawasiri na huondoa maumivu.

Hufanya kazi muhimu katika usagaji chakula: Tango lina nyuzinyuzi nyingi na maji, ambavyo vyote ni muhimu kwa usagaji chakula. Vilevile huzuia kiungulia. Kunywa juisi ya tango kila siku husaidia kutibu vidonda vya tumbo.Watafiti wanasema tunda hili huboresha kinga ya mwili.

Ni tiba ya bawasiri: Tango hutuliza bawasiri na huondoa maumivu.

Hufanya kazi muhimu katika usagaji chakula: Tango lina nyuzinyuzi nyingi na maji, ambavyo vyote ni muhimu kwa usagaji chakula. Vilevile huzuia kiungulia. Kunywa juisi ya tango kila siku husaidia kutibu vidonda vya tumbo.

Loading comments...