YALE YA ZAMANI YAMEKWISHA SASA #OTHMAN #MASOUD HATUWEZI KUVUMULIA MATESO HAYA #actwazalendotv #OMO
#ZanzibarMpya #ZanzibarMoja #MamlakaKamili
Channel Rasmi ya Chama Cha ACT Wazalendo Habari zote kuhusu Act Wazalendo utazipata kupitia channel hii
Usipitwe na Habari Moto Moto Kutoka Katika Chama Chet Cha ACT Wazalendo makala Tofauti Tofauti Habari nyengine nyingi Kuhusu Chama Chetu Utazipata Hapa
#actwazalendotv, #siasatz #zittokabwe #jussa #mazurui
Chama cha ACT Wazalendo kilianzishwa mnamo mwaka 2014 na ni chama kinachoendelea kukua kwa kasi nchini Tanzania. Sisi ni vuguvugu lenye lengo la kutengeneza Tanzania huru, yenye maendeleo na mafanikio ambayo misingi yake itakuwa ni uhuru, uwajibikaji, na uwazi.
Dira yetu ni kwa Tanzania kupiga hatua ya kimaendeleo kwa kupitia:
1.Kujenga uchumi shirikishi unaoshamiri na wenye kukua na kuweza kutengeneza ajira.
2.Miundombinu imara inayochochea sekta zote za uchumi unaokuwa.
3.Upatikanaji wa elimu bora.
4.Upatikanaji wa huduma bora za afya kwa wote.
5.Kujenga taasisi ya polisi huru na inayozingatia taaluma ili iweze kuwahudumia na kuwalinda watu wote.
6.Muungano wenye kuweka maslahi ya watu wa pande zote mbele, wa haki na wa usawa utakaowekewa msingi wake kwenye Katiba ya watu.
7.Vita dhidi ya rushwa na aina zote za ufisadi.
8.Utoaji wa hifadhi ya jamii iliyobora kwa wasiojiweza, masikini na watu wengine wasiojiweza.
9.Makazi ambayo watu wanaweza kuyamudu, na kupatikana kwa wote.
10.Upatikanaji wa maji safi na salama kwa watu wote.
-
1:21:46
ITABAZA TV
1 year agoLeta igiye kugaburira Abanyeshuri inyama z’ingurube/Menya indwara zikomeye ziterwa no kurya ingurube
6 -
1:40
Success Path Network
2 years ago $0.01 earnedKANUNI 20 ZA FEDHA | KITABU | Victor Mwambene
119 -
22:17
ITABAZA TV
1 year agoRUM 2005-2020: Iterambere, Ivugabutumwa, Gusenya Urusengero rw’i Gitwe no gutoteza Abizera baho
29 -
3:30
Success Path Network
2 years agoKUSAIDIA WENGINE NI NJIA YA KUPATA ZAIDI | Ejaz Bhalloo Inspiration
3 -
2:55
Magufulication of Africa
9 months agoKumbukizi ya Rais Magufuli alipofanya Maamuzi ya kumpandisha cheo kiongozi wa JWTZ kwa Uwajibikaji.
10 -
0:57
biregehanvarmis
9 months agoAkdeniz'in Sessiz Tehdidi: Kutu Denizanaları
15 -
15:07
Success Path Network
1 year agoMAMBO 7 YA KUACHA ILI UFANIKIWE | 2023
250 -
26:54
Ektaum
6 months agoEntä jos me kaikki yhdessä päätämme muuttaa maailmaa YHDESSÄ?
8 -
8:40
Success Path Network
1 year agoUSIATHIRIWE NA TABIA MBAYA ZA WENGINE
249 -
4:58:35
Creative Society Malawi
9 months agoVUTO LA PADZIKO LONSE. ITALY. TSOGOLO LIKUDALIRA IFE | Msonkhano Wapaintaneti. Seputembara 16, 2023
6