GLORY-NYASHINSKI

1 year ago
68

GLORY - 1st Single off Nyashinski's 12-Track Debut Album LUCKY YOU
Lyrics Written and Performed by: Nyashinski (@RealShinski)
Music Produced by: Desmond "$ire" Bosire (@desmondbosire)

© 2020 Geta International Ltd.

â„— Romoma Technologies Limited

LYRICS
Glory si hupea God
Lawama shetani na bangi
mamember hurudi home na hope
Pastor anaenda na ganji
Small talk yukuwa job
ubaya ni hailipangi
Nimemaintain najiskizia
Msiniite kaamnikanji

Hi ni miracle baby
Naona nikamnanidare
Mahali nlikuwa mi sikuwa ata nacare
Pembe zao zikaanza kumea sa
Wakinitaja nakwanga aware
Clout wanatafta naeza wapea
Lakini staki so siwapei
Watalearn kujitegemea
Usiconfuse ile ujuaji nakuona nayo na confidence
Kama ushachange na unapewa lift sijui utakuwa nani ukibuy kibenz
Kaushaforgive usiwai revenge
Kauwezi swim usidive deep end
We jiconvince unafanya kazi
Mi niko kazi we jali kutrend
I’m dope like
Who you Imagine you’re dope like
who you’re discussing at home like
Takeover game bila cosign
Most of my day niko offline
Nalive life wanarap
F Y I sina whatsapp
But Kuna wiFi
Na kuna bag so

Glory si hupea God
Lawama shetani na bangi
mamember urudi home na hope
Pastor anaenda na ganji
Small talk yukuwa job
ubaya ni hailipangi
Nimemaintain najiskizia
Msiniite kaamnikanji

Sijaidu cocaine
Sijai dunga vein, mokoro hafai kucomplain
Tangu niende solo si life imechange
Style iko juu ata kaa tisho ni plain
Unasaka unaona tiko ni fame
Ubaya tu mwisho ni pain
Mmetii tangu niingie game
Na hapo tu ndo mnaremain
Society iko hapa inablame shida za
Society kwa maryjane na kitu
Society inahitaji main
Ni kuepuka poverty na hizo machain
Mnafunga wajunior nazo kwa brain
Na juu sio za chuma mnaona ni game uh
Mnaogopa kukuwa irrelevant
Hiyo mi nishajitrain
F*** it!

Glory si hupea God
Lawama shetani na bangi
mamember urudi home na hope
Pastor anaenda na ganji
Small talk yukuwa job
ubaya ni hailipangi
Nimemaintain najiskizia
Msiniite kaa hamnikanji

I’m sorry I might’ve missed your call
Misvutangi trees na bong
Nimekuwa mkali since day one
Siwezi badilisha form
Expat pay me in cash
Hii next part
nimeisema so much inafaa kuwa
Sing along
Kaunikanji misperform
Team Mzima ina celebrate
Like we planned it all along
Bado tunaelevate
Jua tu saa hii far from done
Vision nikimeditate
Najionanga number one
Na hii apa si democracy
An my time in office just begun
Glory mi hupea God

Loading comments...