Namna ya kutengeneza Dashboard nzuri ya platfrom ya Guru

1 year ago
4

Guru ni platform inayowawezesha freelancers kuomba kazi mbalimbali bila kujali sehemu wanayotokea

kwenye video hii nimezungumza masuala mbalimbali, miongoni mwao ni pamoja na
-Namna dashboard ya guru inavyoonekana na vitu muhimu vinavyopatikana
-Namna ya kulipia membership ya guru
-Namna unaweza kuona leads zako guru nk

kama wewe ni mgeni kwenye platform ya guru na unatamani siku moja ikuingizie kipato basi video hii ni kwa ajili yako

FOLLOW ME:
Instagram: https://www.instagram.com/mafolebaraka/
Twitter: https://twitter.com/mafolebaraka
Facebook: https://web.facebook.com/mafolebaraka
Tiktok : www.tiktok.com/mafolebaraka

Email: barakamafole18@gmail.com

Loading comments...