Dad Has a Girlfriend in #English, #Swahili & #Thai | พ่อมีสาว | Daily Life Conversation @kelvinminja

1 year ago
11

Dad Has a Girlfriend in #English, #Swahili & #Thai | พ่อมีสาว | Daily Life Conversation @kelvinminja

My parents are divorced.
Wazazi wangu wameachana.
พ่อแม่ของฉันหย่าร้างกัน

So are mine.
Vivyo hivyo na wangu.
ของฉันก็เหมือนกัน

Why did your parents get divorced?
Kwa nini wazazi wako waliachana?
ทำไมพ่อแม่ของคุณถึงหย่า?

My father found a new girlfriend.
Baba yangu alipata mpenzi mpya.
พ่อของฉันพบแฟนใหม่

That's too bad.
Hiyo ni mbaya sana.
แย่เกินไป

My mother was hurt and angry.
Mama yangu aliumia na kukasirika.
แม่ของฉันเจ็บและโกรธ

She had good reason. What did she do?
Alikuwa na sababu nzuri. Alifanya nini?
เธอมีเหตุผลที่ดี แล้วหล่อนทำอะไร?

She told him to drop his girlfriend.
Akamwambia aachane na mpenzi wake.
เธอบอกให้เขาเลิกกับแฟน

What did your father do?
Baba yako alifanya nini?
พ่อของคุณทำอะไร?

He moved out of our house.
Alihama kutoka nyumbani kwetu.
เขาย้ายออกจากบ้านของเรา

I guess he really liked his new girlfriend.
Nadhani alimpenda sana mpenzi wake mpya.
ฉันเดาว่าเขาชอบแฟนใหม่ของเขาจริงๆ

Yes, but she left him a year later.
Ndio, lakini alimwacha mwaka mmoja baadaye.
ใช่ แต่เธอทิ้งเขาไปในอีกหนึ่งปีต่อมา

Loading comments...