HIZI NDIO ATHARI ZA KUTOJUA THAMANI YAKO

1 year ago
241

karibu tujadili athari za kutokujua thamani yako kwenye maisha.

Kuna kipindi tunaweza kujikuta hatuelewi thamani yetu wenyewe. Hali hii inaweza kusababisha athari mbalimbali katika maisha yetu ya kila siku.

Leo tutajadili baadhi ya athari hizo kama vile kupoteza ujasiri na kujiamini, kushindwa kuweka mipaka na hata kutokuwa na uwezo wa kuamua mambo yanayotufaa.

Na pia utajifunza umuhimu wa kujitambua na kujiamini katika kila hatua ya maisha yako. Kwa hiyo, ninafurahi kushiriki nawe mada hii muhimu na ni matumaini yangu kwamba utapata manufaa niliyoyakusudia.

Usisahau kusubscribe kwenye channel yangu ili usipitwe na video zangu zijazo, pia unaweza kuacha maoni yako na kushiriki uzoefu wako kwenye sehemu ya comment hapo chini. Asante kwa kutazama!
.
LIKE - COMMENT - SUBSCRIBE – SHARE
.
NUNUA KOZI YA SPEAKING SKILLS:
Tuma neno KOZI au COURSE kwenye whatsapp
WhatsApp: http://wa.me/255759191076
Bei ya punguzo: 20,000 TZS tu.
.
OUR SPONSOR’S DETAILS:
Al-Rahmah Schools
Location: Mkuranga
Phone: 0673-52-66-44
IG: http://instagram.com/alrahmahschools
.
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP (BURE):
Ingia moja kwa moja kwa kubonyeza Link hii:
https://chat.whatsapp.com/JxOUqZBdf35...
.
WASILIANA NA EZDEN JUMANNE
Voice-over Talent | Content Entreprenuer | Speaker
Instagram: http://instagram.com/ezdenjumanne
Twitter: http://twitter.com/ezdenjumanne
Facebook: http://facebook.com/ezdenjumanne
WhatsApp: http://wa.me/255759191076
.
SUBSCRIBE Kwenye channel zetu nyingine:
.
HAMASA YA LEO👇🏽
http://youtube.com/hamasayaleo
.
JE WAJUA?👇🏽
http://youtube.com/@jewajua5506
.
VOICE-OVER CHANNEL👇🏽
http://instagram.com/voiceovertanzania
.
KWA MATANGAZO KWA BIASHARA:
- Kuweka tangazo lako kwenye channel hii.
- Unahitaji Voice-over (English & Swahili).
- Kutengenezewa tangazo zuri
Tuwasiliane kwa taarifa hizi hapa chini:
CALLS: (+255) 759 191 076
WHATSAPP: http://wa.me/255759191076
EMAIL: ezdenjumanne@gmail.com
.
.
#kutojua #thamani #Yako

Loading comments...