How to make layered and soft chapati recipe//Jinsi ya kupika chapati zilizochambuka na laini#youtube

1 year ago
18

ingredients
500g purpose flour
50g purpose flour
salt 1/2tbs
1/2cup of oil
1cup of hot water
1 egg

procedures

1. chukua unga wako kwenye bakuli safi,weka chumvi changanya,weka na yai changanya vizuri,weka na kijiko kimoja Cha mafuta
2. chukua maji yako weka kidogo kidogo wenye mchanganyiko wako Anza kukanda kutumia mikono yako safi

3. changanya mchanganyiko wako vizuri hakikisha unakua laini inaanza kukushika mikononi

4. Baada ya hapo kama chombo chako ni kidogo na meza yako ni safi weka mchanganyiko wako juu ya meza na anza kukanda huku unaweka au kupaka mafuta mikononi Kisha una Kanda.

5. baada yapo hakikisha unakanda mpka mikono inakua safi na eneo la kazi ni safi,Kisha Anza kukata dough lako kidogo kidogo na zungusha maduara.

6.baada ya hapo sokota kama fimbo kwenye Kila duana na uzungushe kama ngata mpaka yaishe.

7. Baada yapo sukuma kama unatengeneza chapati hapa unaanza kutumia unga wetu wa 50g baada ya hapo kata na kisu kupata ncha Kisha paka mafuta na kuzingusha kutoka ncha Moja mpaka nyingine fanya hivyo kwenye ngata zote.
👇👇👇👇👇👇👇
NB: hatua hii namba 7 ni kwaajili ya mchambuko wa chapati yako

8.baada ya hapo waweza kuanza kusukuma chapati yako na ukaanza kukaanga na mambo ni safi Sanaa

9. Hongera maana unaenda kua mpishi mahiri sana

THAN YOU SO MUCH FOR WATCHING

Loading comments...