His Line Is Never Busy in #English, #Swahili & #Thai | Daily Life Conversation @kelvinminja

1 year ago
4

My husband died.
Mume wangu alifariki.
สามีของฉันเสียชีวิต

I'm sorry for you.
Pole kwa msiba.
ฉันเสียใจสำหรับคุณ

Thank you.
Ahsante.
ขอบคุณ

When did he die?
Alifariki lini?
เขาเสียชีวิตเมื่อไหร่?

A couple of months ago.
Miezi michache iliyopita.
สองสามเดือนที่ผ่านมา

You still miss him.
Bado unamkumbuka.
คุณยังคิดถึงเขาอยู่

Yes, but I talk to him almost every day.
Ndiyo, lakini huwa nazungumza naye karibu kila siku.
ใช่ แต่ฉันคุยกับเขาเกือบทุกวัน

When you go to church?
Unapoenda kanisani?
เมื่อคุณไปโบสถ์?

No, when I call him on his cell phone.
Hapana, ninapompigia simu kwenye simu yake ya mkononi.
ไม่ ฉันโทรหาเขาทางโทรศัพท์มือถือของเขา

What do you mean?
Unamaanisha nini?
คุณหมายความว่าอย่างไร

I buried him with his cell phone.
Nilimzika na simu yake ya mkononi.
ฉันฝังเขาด้วยโทรศัพท์มือถือของเขา

What will you do when the battery dies?
Utafanya nini betri itakapokufa?
คุณจะทำอย่างไรเมื่อแบตเตอรี่หมด?

I don't know.
Sijui.
ไม่รู้สิ

@kelvinminja @EnglishClass101 @SwahiliPod101 @GMM25Thailand

#foreign #language

Loading comments...