VANILLA&STRAWBERRY CAKE RECIPE//SIMPLE WAY OF MAKING VANILLA & STRAWBERRY CAKE AT THE SAME STEPS

1 year ago
16

Hello guys thank you so much for the support let's grow guys to 1k subscribers

ingredients
750g marigarine
750g purpose flour
500g sugar
12 eggs
50g mill
1tbs baking powder
11/2tbs vinegar
1/2 vanilla flavor
1/2 strawberry flavor

procedure
1.~ changanya vitu vikavu (unga, baking powder) na uchekeche kutuhusu hewa kwenye mchanganyiko wako pia kama Kuna vitu vigumu vitoke.

2.weka marigarine yako kwenye mixer yako na washa mixer Anza kukoroga Kwa dakika Moja

3. Baada ya hapo weka sukari yako kwenye mchanganyiko wa marigarine na koroga Kwa dakika 20

4.ukishakua laini,mweupe na sukari ikiwa imesagika vizuri Anza kuweka yai Moja moja ama mawili na changanya vizuri na utarudia mpaka mayai yote yaishe

5.weka vanilla kwenye mchanganyiko wako na ruhusu ujichanganye vizuri kuleta ladha na harufi nzuri

6.chukua unga wako Anza kuweka kidogo kidogo awamu tatu,awamu ya kwanza weka acha uchanganyike vizuri,weka maziwa kidogo,awamu ya pili weka vinegar na na acha uchanganyike vizuri,weka Tena maziwa na acha uchanganyike vizuri na baada ya hapo weka unga na maziwa awamu ya tatu na acha uchanganyike vzur

7.chukua sufuria zako za kuokea cake paka mafuta na chukua unga nyunyiza usambae kote vizuri

(a) weka mchanganyiko wako nusu kwenye baking pan

(b) mchanganyiko uliobaki rudisha kwenye mixer yako weka 1/2tbs ya strawberry na acha uchanganyike vizuri

(c) weka kwenye baking pan yako

8.oven yako dakika 10 kabla hakikisha umeiwasha 180°c

9.weka ndani ya oven baking pan zako ambayo imepata moto dakika 10 zilizopita.

10. acha cake yako iive na baada ya dakika 30 angalia kama zipo tayari kutumia uma ama kijiti kisafi na kikitoka bila uji uji jua cake yako imeiva itoe na subiriri zipoe kwaajili ya kupambwa

NB: Ili kuiva Kwa cake usifungue fungue oven ukifungua cake haiivi hasa dakika 15 za mwanzo

pia usisahau kuwasha oven dakika 10 kabla au 20min kabla

DARASA LIFUATALO NI UPAMBAJI HIVYO HAKIKISHA UNA SUBSCRIBE KWENYE YOUTUBE CHANNEL YETU

#subscribe #share #comment #cooking #youtube #bake #chocolate #chocolatecake #flavoursthecakehub #recipe #recipes #recipevideo #cakes #cakeshorts #delicious #deliciousfood #deliciousrecipe #deliciouscooking #deliciouschocolate #food #foodie #foodlover #share #foodblogger #foodvlog

Loading comments...