Premium Only Content

How to make the most amazing chocolate cake//jinsi ya kutengeneza chocolate cake #baking#cook_withme
Hello guys thank you so much for the support let's grow guys to 1k subscribers
ingredients
350g marigarine
350g purpose flour
50g Cocoa powder
200g sugar
6 eggs
1tbs baking powder
1/2tbs baking soda
1tbs vinegar
1tbs black syrup
1/2 vanilla flavor
procedure
1.~ changanya vitu vikavu (unga, Cocoa powder, baking soda, baking powder) na uchekeche kutuhusu hewa kwenye mchanganyiko wako pia kama Kuna vitu vigumu vitoke.
2.weka marigarine yako kwenye mixer yako na washa mixer Anza kukoroga Kwa dakika Moja
3. Baada ya hapo weka sukari yako kwenye mchanganyiko wa marigarine na koroga Kwa dakika 20
4.ukishakua laini,mweupe na sukari ikiwa imesagika vizuri Anza kuweka yai Moja moja ama mawili na changanya vizuri na utarudia mpaka mayai yote yaishe
5.weka vanilla kwenye mchanganyiko wako na ruhusu ujichanganye vizuri kuleta ladha na harufi nzuri
6.chukua unga wako Anza kuweka kidogo kidogo awamu tatu,awamu ya kwanza weka acha uchanganyike vizuri,awamu ya pili weka vinegar na black syrup na acha uchanganyike vizuri na baada ya hapo weka awamu ya tatu na acha uchanganyike vzur
7.chukua sufuria zako za kuokea cake paka mafuta na chukua unga nyunyiza usambae kote vizuri
8.oven yako dakika 10 kabla hakikisha umeiwasha 180°c
9.weka mchanganyiko wako kwenye sufuria zako na ingiza ndani ya oven ambayo imepata moto dakika 10 zilizopita.
10. acha cake yako iive na baada ya dakika 40 angalia kama zipo tayari kutumia uma ama kijiti kisafi na kikitoka bila uji uji jua cake yako imeiva itoe na subiriri zipoe kwaajili ya kupambwa
NB: Ili kuiva Kwa cake usifungue fungue oven ukifungua cake haiivi hasa dakika 15 za mwanzo
pia usisahau kuwasha oven dakika 10 kabla au 20min kabla
DARASA LIFUATALO NI UPAMBAJI HIVYO HAKIKISHA UNA SUBSCRIBE KWENYE YOUTUBE CHANNEL YETU
#subscribe #share #comment #cooking #youtube #bake #chocolate #chocolatecake #flavoursthecakehub #recipe #recipes #recipevideo #cakes #cakeshorts #delicious #deliciousfood #deliciousrecipe #deliciouscooking #deliciouschocolate #food #foodie #foodlover #share #foodblogger #foodvlog
-
17:00
Preston Stewart
14 hours ago $1.17 earnedRussia Nears Strategic Town
24.2K12 -
13:46
BlackBeltBarrister
1 day ago $1.47 earnedLaws NOT Protecting Our Citizens and Culture?!
14.1K12 -
16:00
T-SPLY
19 hours agoMember Of Congress Accused Of Joining Violent Mob / LEAKS DHS Information!
11.3K24 -
1:00:27
Trumpet Daily
21 hours ago $3.96 earnedThe Spirit of Compromise - Trumpet Daily LIVE | July 15, 2025
13.7K3 -
10:17
Dr Disrespect
22 hours agoIt's Time To Get Serious
92K16 -
3:39:10
"What Is Money?" Show
4 days agoBitcoin and the Mystery of Money w/ Robert Breedlove
35.4K2 -
12:57
Zoufry
22 hours ago $2.14 earnedThe Car Theft Epidemic in America
43.6K9 -
9:05
MattMorseTV
18 hours ago $5.57 earnedThis changes EVERYTHING.
101K52 -
2:20:23
Side Scrollers Podcast
22 hours agoElon Musk Creates GOONING AI, DSP Lawsuit?, Disney Adults Hit NEW LOW | Side Scrollers Live
51K9 -
1:58:04
FreshandFit
11 hours agoWhy Women Are Always Single?
222K40