Premium Only Content

HATUA 5 ZA UTENGENEZAJI WA TIMU NZURI KATIKA KAZI.
Hili ni somo muhimu sana kama unafikiria kuwa na ushirikiano na wengine katika kazi yoyote unayotaka kufanya kwani kama utakosea kuwa watu sahihi basi inaweza kukugharimu sana. Sasa somo hili ni maalum kukufahamisha wewe ili kuepuka matatizo yasiyo na lazima kama utajipa muda wa kujifunza na kujua tabia za watu, na kujua ni nani unamuhitaji katika team yako. Dr. George Adriano anafafanua kwa undani somo hili.
.
Tuandikie kwenye comments nini umejifunza katika somo hili na kama kuna mifano inayoendana na somo hili tafadhali tushirikishe na sisi tujifunze toka kwako, Each One Teach One! Karibu sana.
.
WASILIANA NA DR. GEORGE ADRIANO
Mwandishi na Mjasiriamali
instagram: @doctoradriano
Fb: Dr George Adriano
Twitter: @drgeorge
Phone: 0767 182 106
.
JIUNGE NA GROUP LETU LA VITABU TELEGRAM (BURE):
Moja kwa moja bonyeza Link hii:
LINK👉🏽 https://t.me/spnbookclub
1) Kwenye group utapata masomo ambayo hayapo kwenye youtube.
2) Kuwa wa kwanza kuona video zetu saa moja kabla ya kupanda kwenye youtube.
.
LIKE - COMMENT - SUBSCRIBE - SHARE
.
SUBSCRIBE Kwenye channel zetu nyingine:
.
HAMASA YA LEO👇🏽
http://youtube.com/hamasayaleo
.
JE WAJUA?👇🏽
https://www.youtube.com/channel/UCOfv3yx9Xbq5hqbrOIMrOBQ
.
VOICE-OVER CHANNEL👇🏽
https://www.youtube.com/channel/UCdkOcHpLVsxSvgNYBBq7_Aw
.
KUPATA MATANGAZO:
- Kuweka tangazo lako kwenye channel hii.
- Unahitaji Voice-over (English & Swahili).
SIMU: (+255) 759 191 076
EMAIL: [email protected]
.
.
#timu #katika #kazi
-
8:11
MattMorseTV
17 hours ago $17.65 earnedTrump's DECLARATION of WAR.
30.8K93 -
3:44
GritsGG
16 hours agoUpdate Your Warzone Loadouts w/ These Tips!
12.7K1 -
2:31:01
The Connect: With Johnny Mitchell
18 hours ago $15.16 earned"It's About To Get Worse"- CIA Agent Andrew Bustamante Explains Why It's Time To Leave America
21.3K38 -
36:28
TruthStream with Joe and Scott
1 day agoMark Attwood joins TruthStream in Ireland by the lake to discuss all things from Crowley to Ireland to UFOs
14.2K33 -
2:13:30
Side Scrollers Podcast
1 day agoUK Introduces MANDATORY Digital ID + Dallas ICE Shooting BLAMED on Gaming + More | Side Scrollers
202K74 -
LIVE
Lofi Girl
2 years agoSynthwave Radio 🌌 - beats to chill/game to
129 watching -
2:26:44
Tundra Tactical
10 hours ago $19.91 earned🎉 Pro-2A Party LIVE! | Zeke Stout Joins The Show With Tacoma Tactical
28.4K1 -
2:36:47
BlackDiamondGunsandGear
12 hours agoAFTER HOURS ARMORY / The LEFT are Recruiting / Join the Leftist Gun Club?
17.2K8 -
16:07
Ken LaCorte: Elephants in Rooms
16 hours ago $5.11 earnedWhy firefighting got political
28.4K8 -
8:31
Rethinking the Dollar
21 hours agoBitcoin Secrets Nobody Talks About!
18.5K8