MAFANIKIO KATIKA MAISHA | Ezden Jumanne

2 years ago
1

Kila mmoja anatamani kupata mafanikio ya kweli katika maisha. Lakini je, ni wangapi wanaweza japo kufafanua mafanikio kwao ni nini? Uzito wa swali hili upo kwenye ukweli kwamba kama mtu atashindwa kufahamu kwake mafanikio ni nini basi inawe kuwa ngumu sana mtu huyo kufanikiwa, kwani ni rahisi akajikuta anakimbiza mafanikio yasiyo yake bila yeye kujua.
.
Ukiweza kufahamu vizuri mafanikio kwako ni nini basi inaweza kuwa rahisi hata kutoka umasikini hadi mafanikio kimaisha. Ukishafahamu maana ya mafanikio, kanuni za mafanikio, basi utajua siri mbalimbali za mafanikio na ukiweka juhudi basi utaweza kuyafikia mafanikio yoyote yale kuanzia uchumi, uhuru, afya, familia n.k.
.
Ungana na Ezden Jumanne katika somo hili akifafanua kwa undani.
.
Tuandikie kwenye comments nini umejifunza katika somo hili na kama kuna mifano inayoendana na somo hili tafadhali tushirikishe na sisi tujifunze toka kwako, Each One Teach One! Karibu sana.
.
JIUNGE NA GROUP LETU LA VITABU TELEGRAM (BURE):
Moja kwa moja bonyeza Link hii:
BONYEZA👉🏽 https://t.me/spnbookclub
1) Kwenye group utapata masomo ambayo hayapo kwenye youtube.
2) Kuwa wa kwanza kuona video zetu saa moja kabla ya kupanda kwenye youtube.
.
LIKE - COMMENT - SUBSCRIBE - SHARE
.
WASILIANA NA EZDEN JUMANNE
Voice-over Talent/ Content Entreprenuer
Instagram: @ezdenjumanne
Twitter: @ezdenjumanne
Facebook: Ezden Jumanne
Phone: (+255)759 191 076
Web: www.swahilivoiceovers.com
.
SUBSCRIBE Kwenye channel zetu nyingine:
.
HAMASA YA LEO👇🏽
http://youtube.com/hamasayaleo
.
JE WAJUA?👇🏽
https://www.youtube.com/channel/UCOfv3yx9Xbq5hqbrOIMrOBQ
.
VOICE-OVER CHANNEL👇🏽
https://tinyurl.com/matangazo
.
KUPATA MATANGAZO:
- Kuweka tangazo lako kwenye channel hii.
- Unahitaji Voice-over (English & Swahili).
SIMU: (+255) 759 191 076
EMAIL: ezdenjumanne@gmail.com
.
.
#mafanikio #katika #maisha

Loading comments...