KANUNI 20 ZA FEDHA | KITABU | Victor Mwambene

2 years ago
105

Je, huwa unapata pesa lakini mwisho wa siku hujui pesa yote inaishia wapi au unajikuta unaitumia hovyo?

Sio hivyo tuu...

Je huwa unaingiza kipato kizuri katika shughuli zako za kila siku lakini hakuna cha maana ambacho unakifanya kupitia kipato chako??

Kama unapata changamoto hizi usiwe na tabu kwasababu nimekuandalia suluhisho kupitia kitabu cha...

KANUNI 20 ZA FEDHA Kilichoandikwa na Victor Mwambene
kitakachokupa misingi ya utengenezaji wa fedha,kutunza na kuwekeza fedha zako kwa usahihi.

Kukurahisishia kazi ndani ya kitabu hiki utajifunza yafuatayo;

1. Njia Za Kuthibiti Hela Zako Zisipotee Hovyo.

2. Namna Ya Kuwekeza Fedha Zako Sehemu Sahihi.

3. Jinsi ya Kutambua Kazi Au Biashara Zitakokutengenezea Hela Nzuri.

4. Maeneo Ambayo Hela Hujificha Na Namna Ya Kuzipata .

5. Jinsi ya Kubadili Changamoto Kuwa Hela Katika Nyakati Mbalimbali.

6.Tofauti Zinazofanya Matajiri Kubaki Matajiri Na Masikini Kuendelea Kuwa Masikini.

7. Tabia Zinazoleta Mafanikio Ya Kifedha Na Namna Ya Kuzijenga.

Haya ni machache lakini kuna mengine mengi utakutana nayo kuhusu fedha.

Nunua copy yako sasa (Hard Copy):
Bei ya kitabu hiki: 20,000/= tu
Namba ya simu: 0744126640
.
Mfuate mwandishi kwenye Instagram
http://instagram.com/victor_mwambene
.
#kanuni #20 #fedha

Loading comments...