TIMIZA MALENGO TOUR 2022 | Iringa Mjini

2 years ago
1

TIMIZA MALENGO TOUR 2022 | Iringa Mjini
Habari mkazi wa Iringa, kesho ni siku yako maalum sana hapo mjini. Ni siku ya kujiongezea maarifa stahiki katika ufahamu wako. Ni siku ya kujiongezea thamani katika maarifa fedha, kujitambua, mahusiano na uwezo binafsi kwa ujumla toka kwa waalimu @joelnanauka_ @denismpagazed @victor_mwambene @gastormtweve_ na @fredyherbet
.
WAPI?
Gentle hill hall.
KUNA NINI?
Semina ya Timiza Malengo Tour 2022
MUDA:
kuanzia saa 3 Asubuhi mpaka saa 11 Jioni
KIINGILIO:
20,000/= pamoja na chakula
MUHIMU:
Usisahau kubeba Note book na Pen yako.
.
KUJISAJILI NA MALIPO:
0753-690-907
0755-100-502
COORDINATOR: @citymaxbookshop
.
TIMIZA MALENGO TOUR
See You At The Top!
.
#Timiza #Malengo #Tour

Loading comments...