JE, WEWE UNAJIPENDA KIASI HIKI? | Ezden Jumanne

1 year ago

Najua hata kabla sijakuuliza kwamba unaamini kabisa kuwa wewe unajipenda kiasi kinachotakiwa. Lakini ukweli usemwe, ikiwa unajipenda au haujipendi matendo yako juu ya kila kitu unachofanya yanaweza kutoa taarifa kamili kabisa juu ya upendo wako.
.
Karibu kwenye somo hili ambalo naamini litakufungua sana juu ya namna gani unajipenda.
.
Tuandikie kwenye comments nini umejifunza katika somo hili na kama kuna mifano inayoendana na somo hili tafadhali tushirikishe na sisi tujifunze toka kwako, Each One Teach One! Karibu sana.
.
LIKE - COMMENT - SUBSCRIBE - SHARE
.
WASILIANA NA EZDEN JUMANNE
Voice-over Talent/ Content Entreprenuer
Instagram: @ezdenjumanne
Twitter: @ezdenjumanne
Facebook: Ezden Jumanne
Phone: (+255)759 191 076
.
SUBSCRIBE Kwenye channel zetu nyingine:
.
HAMASA YA LEO👇🏽
http://youtube.com/hamasayaleo
.
JE WAJUA?👇🏽
https://www.youtube.com/channel/UCOfv...
.
VOICE-OVER CHANNEL👇🏽
https://www.youtube.com/channel/UCdkO...
.
VOICE-OVER WEBSITE 👇🏽
http://tinyurl.com/voiceovertanzania
.
KUPATA MATANGAZO:
- Kuweka tangazo lako kwenye channel hii.
- Unahitaji Voice-over (English & Swahili).
SIMU: (+255) 759 191 076
EMAIL: ezdenjumanne@gmail.com
.
.
#unajipenda #kiasi #gani

Loading comments...