CHUKUA SAMPLE SCRIPT NA VOICEOVER DEMO | Ezden Jumanne

2 years ago

VOICEOVER SCRIPT SAMPLE:
VOICEOVER DEMO:

(NORMAL PACE)
Habari, mimi naitwa Kiboko Yao.
Ninaingiza sauti za matangazo kwa biashara yoyote ile.
.
(SLOW PACE)
Na ikiwa ni kuongea taratibu, naweza kufanya bila wasiwasi wowote.
.
(VERY HAPPY & FAST PACED)
Na hata kama ikiwa ni kuongea haraka, yaani chap-chap,
Hilo kwangu sio tatizo. Mambo ya spidi tu? hapa umefika.
.
Tuma demo yako katika whatsapp namba hii 0759-191-076

#voiceover #script #demo

Loading comments...