TENGENEZA PESA KWENYE YOUTUBE | Ezden Jumanne

1 year ago
4

jinsi ya kupata pesa kwenye youtube ni ndoto ya watu wengi sana ambao wamesikia tu kuwa watu wanapata pesa na wengi wanapata pesa nzuri sana tu na wengine wanapata kidogo tu kutokana na kila mtu anavyofanya kazi kwa bidii pamoja na kujua jinsi mtandao wa youtube unavyofanya kazi.
.
Ungana na Ezden Jumanne ambaye ndiye mwanzilishi wa channel hii ya success path network akifafanua sehemu ya kinachotakiwa kufanyika pamoja na kukuletea kozi mpya aliyoitengeneza na kuiita Youtube channel mastery course.
.
KUPATA KOZI YA "YOUTUBE MASTERY":
Andika ujumbe "KOZI" au "COURSE"
Kwenda whatsapp namba: 0759-191-076
ADA: 49,000 TZS
.
WASILIANA NA EZDEN JUMANNE
Voice-over Talent/ Content Entreprenuer
Instagram: @ezdenjumanne
Twitter: @ezdenjumanne
Facebook: Ezden Jumanne
Phone: (+255)759 191 076
.
SUBSCRIBE Kwenye channel zetu nyingine:
.
HAMASA YA LEO👇🏽
http://youtube.com/hamasayaleo
.
JE WAJUA?👇🏽
https://www.youtube.com/channel/UCOfv3yx9Xbq5hqbrOIMrOBQ
.
VOICE-OVER CHANNEL👇🏽
https://http://tinyurl.com/matangazo
.
JIUNGE NA GROUP LETU LA VITABU TELEGRAM (BURE):
Moja kwa moja bonyeza Link hii:
https://t.me/spnbookclub
.
.
.
#kupata #pesa #youtube

Loading comments...