TENGENEZA PESA KWA UJUZI HUU | Ezden Jumanne

2 years ago
5

Tengeneza pesa au kipato kwa kuboresha ujuzi wako wa kuzungumza. Huu ni ujuzi ambao unaweza kukuletea mabadiliko makubwa chanya katika maisha yako kama utatenga muda kuuboresha.

Basi nimekuandalia kozi hii muhimu ambayo itakusaidia sana kutambua tha,ani ya sauti na uwezo wako wa kuzungumza pamoja na kujifunza ni namna gani unaweza ku tengeneza pesa aukipato kwa ujuzi huo.

KUNUNUA KOZI HII:
Tuma ujumbe whatsapp andika
"KOZI" kwenda namba 0759-19-10-76

#tengeneza #pesa #ujuzi

Loading comments...