NJIA 10 ZA KUEPUKA MADENI | Ezden Jumanne

1 year ago
5

Kila kitu kwenye maisha kinahitaji maarifa fulani hali kadhalika mafanikio ya kifedha yana maarifa maalum ambayo yanahitaji ufuatilie kwa makini ili uweze kuyafikia. Kitu kinachokwamisha au kuchelewesha watu wengi kufanikiwa ni kuandamwa na madeni, sasa katika somo hili Ezden Jumanne anakuchambulia njia 10 zitakazokuepusha na madeni katika maisha yako, hii ni kwa msaada wa kitabu cha Nguvu Ya Pesa - Festo Amos.
.
Tuandikie kwenye comments nini umejifunza katika somo hili na kama kuna mifano inayoendana na somo hili tafadhali tushirikishe na sisi tujifunze toka kwako, Each One Teach One! Karibu sana.
.
LIKE - COMMENT - SUBSCRIBE - SHARE
.
SPONSOR: MY SHOP TANZANIA
WEB: http://myshop.co.tz
INSTA: http://instagram.com/myshop_tz
.
WASILIANA NA EZDEN JUMANNE
Voice-over Talent/ Content Entreprenuer
Instagram: @ezdenjumanne
Twitter: @ezdenjumanne
Facebook: Ezden Jumanne
Phone: (+255)759 191 076
Website: http://tinyurl.com/voiceovertanzania
.
SUBSCRIBE Kwenye channel zetu nyingine:
.
HAMASA YA LEO👇🏽
http://youtube.com/hamasayaleo
.
JE WAJUA?👇🏽
https://www.youtube.com/channel/UCOfv...
.
VOICE-OVER CHANNEL👇🏽
http://tinyurl.com/matangazo
.
.
#Kuepuka #Madeni #Maishani

Loading comments...