WACHEZAJI 10 WENYE USHAWISHI UKUBWA KUPITIA MITANDAO YAO YA KIJAMI ( INSTAGRAM).

1 year ago
1

Mpira wa miguu ndio mchezo unaojulikana zaidi na ukweli kwamba fedha nyingi zinahusishwa, angalau kwa kusema hivyo.

wachezaji kama Lionel Messi na Cristiano Ronaldo bila shaka yoyote ndio wachezaji wenye ushawishi mkubwa kupitia mitandao yao ya Instagram.

Hapa nimekuwekea list ya wanasoka 10 wanaoingiza mkwanja mrefu zaidi hasa kupitia matangazo yanayo wekwa kwenye account zao.

#ronaldo #ronaldoskills #messsi #simulinasauti #pogba #uefachampionsleague #laligasantander #primerleague

Loading comments...