Tazama shangwe la mashabiki wa Simba SC, wakiongozwa na Meneja wa Mawasiliano wa timu Ahmed Ally

1 year ago
1

MASHABIKI WA SIMBA MITAANI: Tazama shangwe la mashabiki wa Simba SC, wakiongozwa na Meneja wa Habari na Mawasiliano wa timu hiyo Ahmed Ally wakipita mitaani maeneo ya Temeke kuhamasisha kuelekea #SimbaDay2022 kesho Jumatatu.

Usikose kutazama tamasha la #SimbaDay2022 ambalo litarushwa LIVE #AzamSports1HD

#SimbaDay2022 #SimbaSC

Loading comments...