Mtangazaji wa AzamTV, Peter Otai aliyekuja na neno ByutiByuti apewa zawadi ya jezi.

1 year ago
138

Mtangazaji wa soka wa Azam TV, Peter Otai aliyekuja na neno #ByutiByuti linalotumika kwenye #SikuYaWananchi akipewa zawadi ya jezi.

Shughuli nzima itakuwa #Mbashara #AzamSports1HD

Kwa kifurushi cha shilingi 23,000 shughuli nzima utaishuhudia moja kwa moja kwenye luninga yako.

#YangaSC #WikiYaWananchi #SikuYaWananchi #YangaDay #SokaLetuBamBam #SisiNiSoka #AzamTV #BurudaniKwaWote

Loading comments...