Kikosi cha YangaSC kilivyopita mbele ya maelfu ya mashabiki hapa dimba la Mkapa.

1 year ago
1

Kikosi cha #YangaSC kilivyopita mbele ya maelfu ya mashabiki hapa dimba la #Mkapa huku mbele vikitangulia vikombe vyote walivyobeba msimu uliomalizika.

Shughuli nzima itakuwa #Mbashara #AzamSports1HD

Kwa kifurushi cha shilingi 23,000 shughuli nzima utaishuhudia moja kwa moja kwenye luninga yako.

#YangaSC #WikiYaWananchi #SikuYaWananchi #YangaDay #SokaLetuBamBam #SisiNiSoka #AzamTV #BurudaniKwaWote

Loading comments...