SIMBA WEEK 2022:Sehemu ya viongozi wa Simba, wakiongozwa na Afisa Mtendaji Mkuu Barbara Gonzalez

1 year ago
1

SIMBA WEEK 2022: Tazama sehemu ya viongozi wa Simba SC, wakiongozwa na Afisa Mtendaji Mkuu wake Barbara Gonzalez walivyokabidhi zawadi kwa wazee waishio kwenye makazi maalum Kigamboni Dar es Salaam.

Hii ni sehemu ya shamrashamra kuelea #SimbaDay hapo Agosti 8, ambapo uhondo utakuwa LIVE #AzamSports1HD

#SimbaWeek2022 #SimbaSC
@simbasctanzania

Loading comments...