Clatous Chama akieleza namna anavyomfahamu Mzambia, mwenzake Moses Phiri

1 year ago
2

NBCPL STAR: Msikie kiungo wa Simba SC, Clatous Chama akieleza namna anavyomfahamu Mzambia, mwenzake Moses Phiri ambaye kwa sasa amejiunga na vijana hao wa Msimbazi.

Kuyapata mahojiano haya kwa undani zaidi, ingia kwenye chaneli yetu ya YouTube ya #AzamTV

#NBCPLStar #Chama
@realclatouschama

Loading comments...