KAMBI YA SIMBA:Kilichojiri leo kwenye kambi ya Simba iliyopo Misri

2 years ago
18

KAMBI YA SIMBA: @patrick_nyembera anasimulia kilichojiri leo kwenye kambi ya Simba SC, iliyopo Misri huku Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally akitoa ufafanuzi wa kile kinachoendelea kambini.

#SimbaSC #KambiYaSimba

Loading comments...