MANARA afungiwa miaka miwili na Faini ya milioni20

1 year ago
3

MANARA AFUNGIWA MIAKA MIWILI, FAINI MILIONI 20

Kamati ya Maadili ya TFF, imemfungia Msemaji wa Klabu ya Yanga, Haji Manara kutojihusisha na masuala ya mpira ndani na nje ya nchi kwa miaka miwili na faini ya shilingi milioni 20 kwa kosa la kumtolea maneno yasiyofaa Rais wa TFF, Wallace Karia katika mechi ya fainali ya kombe la Azam iliyopigwa Jijini Arusha.

#AzamTV #AzamSport #BreakingNews

Loading comments...