Azam FC waingia Kambini Rasmi

3 years ago
1

AZAM FC: Kocha Azam FC, Abdi Hamid Moallin amefunguka kuhusu mazoezi ya timu yake ambayo yameanza leo ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya msimu mpya kabla ya kusafiri kwenda nchini Misri kwaajili ya kambi rasmi.

Loading comments...