U20 PREMIER LEAGUE COASTAL UNION vs MBEYA KWANZA: Hili hapa goli lililoamuliwa na VAR

1 year ago
10

#U20PremierLeague : Hili hapa goli la Joel Mwambungu akiipeleka Mbeya Kwanza fainali huku VAR ikifanya kazi yake

FT: Coastal Union 0-1 Mbeya Kwanza

Mechi inayofuata ni Mtibwa Sugar dhidi ya Azam FC saa 12:00 jioni

#AzamSports2HD #U20PremierLeague2022 #LigiKuuYaVijanaU20 #LigiKuuYaVijana #CoastalUnionVsMbeyaKwanza #MbeyaKwanza #CoastalUnion #VARMajaribio

Loading comments...