UCHAGUZI YANGA: Hersi Ally Said ndio Rais wa Young Africans

1 year ago
3

UCHAGUZI YANGA: “Natamka rasmi sasa ndugu Hersi Ally Said ndio Rais wa Young Africans” maneno ya Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi ya Yanga SC, Malangwe Ally Mchungahela.

Tuko LIVE #AzamSports1HD

#UchaguziYangaSC #YangaSC #Uchaguzi

Loading comments...