JAMHURI KIHWELO aukubali rasmi ubingwa wa YANGA kwenye usiku wa tuzo za TFF

1 year ago
6

#NBCTFFAWARDS2022 “Nawapongeza kwa kazi nzuri waliyoifanya” – Kocha wa Namungo FC, Jamhuri Kihwelo aukubali rasmi ubingwa wa Yanga kwenye #NBCPremierLeague msimu 2021/22, awataja Mwanyeto na Dickson Job dhidi ya Henock Inonga, asisitiza Yanga wanastahili.

Iko LIVE #AzamSports2HD

#TuzoZaTFF #TFFAwards #TFFAwards2022 #UsikuWatuzo #NBCTFFAwards2022 #TuzoZaNBCTFF #Tuzo #TFF #Awards2022 #UsikuWaMastaaWaSoka

Loading comments...