GEORGE MPOLE: Msikie Mpole akiongea baada ya kuwasili kwenye TUZO za TFF

1 year ago
1

#NBCTFFAWARDS2022 Machache kutoka kwa ‘top scorer’ wa #NBCPremierLeague 2021/22 George Mpole akizungumzia ushindani aliokuwanao katika mbio za kuusaka ufungaji bora, huku akimgusia aliyekuwa mshindani wake wa karibu, Fiston Mayele.

Ni katika usiku wa tuzo za TFF unaoendelea muda huu LIVE #AzamSports2HD

#TuzoZaTFF #TFFAwards #TFFAwards2022 #UsikuWatuzo #NBCTFFAwards2022 #TuzoZaNBCTFF #Tuzo #TFF #Awards2022 #UsikuWaMastaaWaSoka

Loading comments...