JUMA MGUNDA awachambua washambuliaji wa Tanzania alipohudhuria Tuzo za TFF

3 years ago
1

#NBCTFFAWARDS2022 Kocha Juma Mgunda achambua viwango vya washambuliaji wanaosajili kutoka nje ya Tanzania huku akimtaja Rodgers Kola na kuweka wazi masikitiko yake kuhusu Reliants Lusajo.

Mgunda pia ameeleza jinsi alivyoumizwa na mechi ya fainali ya #AzamSportsFederationCup dhidi ya Yanga.

Ni kuelekea usiku wa tuzo za TFF muda huu LIVE #AzamSports2HD

#TuzoZaTFF #TFFAwards #TFFAwards2022 #UsikuWatuzo #NBCTFFAwards2022 #TuzoZaNBCTFF #Tuzo #TFF #Awards2022 #UsikuWaMastaaWaSoka

Loading comments...