Jay Melody - Huba Hulu

2 years ago
8

Mung'unya au tafuna kitu mororo
Yakheeee saa sita napata supu kongoro
Mama Ijumaaa biriani ya mama cholo
Busati mkeka sio kila siku godoro

Ai wewe nimekwisha
Ni mapenzi yamenishika
Ai nyinyi nimekwisha
Maumivu hasta la vista

Okeeeeeeeeeeeeh bumba

Loading comments...