SIMBA kushusha vifaa vipya kuziba pengo la BWALYA

1 year ago
3

#USAJILI : Simba SC kushusha vifaa vya kazi kuziba mapengo ya wachezaji walioagwa. Kupitia kwa Afisa Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally amesema mpango kazi wa kusajili wachezaji wapya unaendelea.

Mpaka sasa klabu ya Simba imethibitisha kuachana na wachezaji wawili, Rally Bwalya na Paschal Wawa.

#AzamSports1HD #SimbaSC #Azamtv #Usajili.

Loading comments...