RALLY BWALYA: Nitawamiss sana

1 year ago
2

“Nitawamiss mashabiki wa Simba” – Rally Bwalya anazungumzia miaka yake miwili aliyokaa ndani ya Simba huku akisisitiza kuwa lolote linawezekana kuhusu yeye kurejea kwenye ligi ya Tanzania.

Je, una lipi la kumuambia?

#AzamSports1HD
#NBCPL #NBCPLUpdates #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #SisiNiSoka #SimbaSCVsKMC #SimbaSC #KMC #SimbaKMC

Loading comments...