Mkurugenzi mkuu wa YANGA SC akielezea kwa upana kuhusu NANI ZAIDI

3 years ago
7

“Hii ni moja ya miradi ambayo huwezi kuipuuzia, ni mradi wa kwanza wa aina hii kufanyika Tanzania ambapo klabu pinzani zinaungana pamoja kuona ni jinsi gani ushindani wao unaweza kuwapatia fedha, haisaidii kubaki kushabikia kama hakuna kinachoingia kwenye klabu,”- Senzo Mbatha, CEO wa Klabu ya #YangaSC

#NaniZaidi #SimbaAuYanga #AzamTV #AzamPesa #SimbaSC #YangaSC

Loading comments...