Msemaji wa Simba akiongea na waandishi wa habari kuelekea kwenye mechi yao dhidi ya Yanga.

3 years ago
2

Yanga SC vs Simba SC

"Beno Kakolanya yuko pale kwaajili ya kuwahudumia wanasimba tarehe 28" Maneno ya Afisa Habari na Mawasiliano wa timu ya Simba, Ahmed Ally akitoa taarifa ya majeruhi ndani ya timu hiyo pamoja na maandalizi kiujumla kuelekea mchezo wa nusu fainali ya Azam Sports Federation Cup dhidi ya #yangasc

#ASFC #AzamSportsFederationCup #YangaSCVsSimbaSC #YangaSimba

Loading 1 comment...