MAYELE akipata goli njoo uchukue kuku

2 years ago

“Mayele akipata goli, njoo uchukue kuku” - Ni ahadi ya shabiki wa Simba tawi la Buguruni Malapa, Dar es Salaam akimjibu shabiki wa Yanga ambaye anaamini Fiston Mayele ataifunga Simba kwenye derby ya Jumamosi.

Je, wewe unasemaje? Mayele atatetema siku hiyo?

#NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #KariakooDerby #YangaSimba #YangaVsSimba #YangaSC #SimbaSC #WataniWaJadi #Derby

Loading comments...