AHMED ALLY: Tumetolewa kishujaa

3 years ago

“Tumetolewa kishujaa” – Ahmed Ally baada ya kutupwa nje kwenye michuano ya #CAFCC , ana neno la kuzungumza na mashabiki kuelekea ‘Kariakoo Derby’ Aprili 30, 2022, akisema wanakwenda kutafuta faraja kwa kuifunga Yanga, huku akisema wamejifunza mengi kuelekea msimu ujao.

Loading comments...