SIMBA SC: Tayari tumetuma watu South Afrika

2 years ago
3

CAFCC: “Tayari baadhi ya watu wameshatangulia Afrika Kusini” maneno ya Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally akizungumza kuelekea mechi ya mkondo wa pili ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Orlando Pirates hapo Jumapili Aprili 24.

Ahmed amesema hayo leo alipoungana na kundi la mashabiki wa Simba la Enjoy and Cry kutoa msaada kwenye kituo cha kulea watoto yatima kilichopo Chalambe, Mbagala Dar es Salaam.

Loading comments...