MASHINDANO YA QUR’AN TAIFA: Sheikh Kishki awashukuru SIMBA kuwaruhusu kutumia uwanja siku ya leo

2 years ago
17

SIMBA vs ORLANDO PIRATES: “Nitumie fursa hii kuishukuru klabu ya Simba nao kwa kuridhia na kutukubalia leo hii sisi tuanze asubuhi na wao wamalizie jioni, hatuna la kusema zaidi ya kuwatakia kila la heri” maneno ya Mkurugenzi Mkuu wa Al-Hikma Foundation Nurdin Kishk ambao ndio waandaaji wa mashindano ya Qur’an yanayofanyika katika dimba la Benjamin Mkapa

Loading comments...